Back to home

Gavana wavinya awatimua maafisa wafisadi Machakos

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
5h ago
Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amewafuta kazi maafisa 36 wa kaunti hiyo kwa tuhuma za ufisadi. Akizungumza katika ofisi za kaunti hiyo mjini Machakos, gavana Wavinya amesema kwamba maafisa hao wakiwemo wa idara za usimamizi, biashara, vileo, utoaji wa bili na ukusanyaji ushuru