Back to home

Taasisi ya kuchapisha vitabu yawasilisha vitabu Awendo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 9, 2025
6h ago
Taasisi ya kuchapisha vitabu kwa ushirikiano na ofisi ya mwakilishi wadi ya wadi ya Sakwa Kusini, kaunti ndogo ya Awendo wametoa vitabu vya thamani ya shilingi milioni 3 kwa shule 32 za msingi katika wadi hiyo.