Back to home

Sherehe za Maulidi Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
2h ago
Watu Zaidi ya elfu 10 kutoka mataifa ya Tanzania,Yemen,Uganda,Comoro wamewasili katika Kisiwa cha Amu ili kuhudhuria sherehe za Maulidi. sherehe hizi hufanyika Kila mwaka katika Kisiwa cha Amu kukumbuka tarehe ya kuzaliwa kwa mtume Mohammed PBUH.