Back to home

Wajane zaidi ya 50 wasaidiwa eneo la Omosasa kaunti ya Kisii

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Wadau kutoka sekta kadhaa ikiwemo idara ya afya, maafisa wa usalama na wanaharakati sasa wanataka jamii kuwakumbuka wajane waliofiwa na wake zao kwani takwimu zinaonyesha kwamba wengi wanazongwa na msongo wa mawazo.