Back to home

Vijana wafunzwa elimu dijitali Githunguri kaunti ya Kiambu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Makumi ya vijana kutoka maeneo ya Githunguri kaunti ya Kiambu wameelezea matumaini yao kuhusu mradi wa serikali wa elimu ya mitandao wakisema utawawezesha kujiajiri.