Back to home

Serikali ya Kirinyaga yaendelea kuzindua miradi ya maji

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Kaunti ya Kirinyaga imepiga hatua ya kuboresha huduma za maji kwa kukamilisha miradi kadhaa ya visima vya maji huku ikilenga kukamilisha miradi mingine mipya 42 .