Back to home

Wafugaji wafunzwa kutengeneza lishe bora ya mifugo Isiolo

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 18, 2025
3h ago
Mradi wa mageuzi katika kijiji cha Ngarema, kaunti ya Isiolo, umeleta matumaini mapya kwa wafugaji waliokumbwa na athari za mabadiliko ya tabianchi na uhaba wa malisho.