Back to home

Matunda ya mfenesi yatumiwa kutengeneza divai Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 12, 2025
2h ago
Wakulima katika kaunti ya Busia na eneo pana la magharibi wamehimizwa kukumbatia upanzi wa mmea uliopuuzwa wa fenesi, baada ya wanafunzi wa chuo cha kifundi cha Dr. Daniel Wako Murende kuanzisha shughuli ya kusindika divai kutoka kwa matunda hayo. Ni shughuli iliyoanzishwa mwaka