Back to home

Vijana 18 waokolewa baharini manda kaunti ya Lamu katika ajali ya mashua

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Vijana 18 wameokolewa baada ya mashua yao kwa jina Aljazira kuzama baharini eneo la Manda kaunti ya Lamu.