Back to home

Wakazi wa Sina Kaunti ya Pokot Magharibi waandamana

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 16, 2025
2h ago
Mtu mmoja anauguza majeraha katika hospitali ya Kapenguria baada ya kupigwa risasi wakati polisi waliposambaratisha maandamano ya wakazi wa Sina, Kaunti ya Pokot Magharibi.