Back to home

Fidia finyu ya KWS Igembe Kaskazini

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
3h ago
Baadhi ya Wakaaji wa Vijiji vya Mbututia na Antuambui Eneo la Igembe Kaskazini, Kaunti ya Meru wanalalamikia kukosa Fidia Kutoka kwa KWS ya hasara ya Ndovu kuharibu mashamba yao.