Back to home
Naibu Rais Kindiki akutana na wahudumu wa afya ya jamii kaunti ya Meru
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
3h ago
Naibu wa rais profesa kithure kindiki amekutana wa wahudumu wa afya ya jamii zaidi ya 6,500 kutoka kaunti ya meru na kuwahakikishia kuwa serikali itatekeleza mkataba wa kuboresha hali ya maisha yao.