Back to home

Wabunge wa Trans Nzoia wahofia kuwa mahindi yatakosa soko

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Wabunge kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameeleza wasiwasi wao kuwa huenda wakulima wa mahindi wasipate faida licha ya bidii yao, kutokana na serikali kushindwa kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wanapata soko la uhakika msimu huu wa mavuno.