Back to home

Jukwaa la usalama awamu ya 43 lafanyika kaunti ya Nyamira

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 19, 2025
2h ago
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ameshauri maafisa wa polisi kuwatumikia wananchi kwa uadilifu, wanapokabiliana na utovu wa usalama na pombe haramu.