Back to home
Wawaniaji wa kiti cha mwakilishi wadi ya Chemundu wapongeza mfumo mpya wa upigaji kura
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 19, 2025
1h ago
Baadhi ya wawaniaji wa kiti cha mwakilishi wadi ya Chemundu/Kapng'etuny, eneo bunge la Chesumei kaunti ya Nandi wamepongeza mfumo mpya wa upigaji kura wa kutumia njia ya kielektroniki uliozinduliwa na tume huru ya uchaguzi IEBC.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Keny