Back to home
Viongozi wa upinzani wakosoa mikutano ikuluni
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Viongozi wa Upinzani wamekashifu kile wanachokitaja kuwa utoaji hongo kwa Wakenya katika ikulu ya Nairobi , wakisema unalenga kuwashawishi kumpigia kura rais william ruto kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027. Wakizungumza kwenye hafla tofauti nchini, Kiongozi wa PLP Martha Karua, mwe