Back to home
Misaada wa shirika moja Kilifi yasimamishwa kwa kuwalazimisha wanafunzi kukariri maombi ya Kihindu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Serikali sasa imesitisha mpango wa msaada wa chakula kwa wanafunzi unaoendelezwa na Shirika moja la kihindu. Hii ni kufuatia taarifa kuwa wanafunzi wanaopokea msaada huo wa chakula katika shule 17 eneo la Ganze kaunti ya Kilifi wamekuwa wakilazimishwa kufanya maombi ya kihindu ka