Back to home
Wizi wa mifugo Migori
video
C
Citizen TV (Youtube)September 20, 2025
1h ago
Unapozungumzia wizi wa mifugo, wengi hudhani ni visa vinavyotokea tu kwa jamii za wafugaji ila ni uhalifu unaowasibu wengi. Katika kaunti ya Migori, wizi wa mifugo umekuwa tisho kubwa kwa wakazi ambao mbali na kupoteza mifugo, wengine pia wameuawa kwenye uhalifu huo. Walter Nyamb