Back to home
Wazazi wafungiwa MTRH baada ya kujifungua, hospitali yatetea uamuzi
video
C
Citizen TV (Youtube)September 21, 2025
2h ago
Baadhi ya kina mama waliojifungua wameendelea kuzuiliwa katika hospitali ya rufaa ya Eldoret, wengine wakisalia hospitali kwa zaidi ya miezi mitatu. Picha za mwanagenzi kutoka hospitali hiyo zilionyesha malalamishi ya zaidi ya kima mama 20 waliodai kutelekezwa kwa kukosa kulipa.