Back to home

Homa Bay yapiga hatua kupunguza vifo vya uzazi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 21, 2025
2h ago
Kwa siku 114 mfululizo, kaunti ya homabay haikushuhudia kifo cha mama wakati wa kujifungua. Hata hivyo, kifo cha mama mmoja baada ya kunywa dawa za kienyeji kilisababisha hesabu ya kumaliza kabisa vifo vya kina mama wanapojifungua kuanza tena. Kaunti hiyo sasa inashirikiana na wa