Back to home
Wakenya walaani mauaji ya Gaza
video
C
Citizen TV (Youtube)September 21, 2025
2h ago
Mamia ya wakenya walijitokeza barabarani jijini Nairobi hii leo kwa matembezi ya kukashifu vita vinavyoendelea katika ukanda wa Gaza ambako zaidi ya watu elfu 65 wameuawa kwenye mashambulizi ya Israel kwa muda wa miaka miwili sasa. Mashirika ya haki na viongozi wa kiisilamu wamek