Back to home
Walimu watilia shaka hatua ya kuwahamisha kutoka Minet hadi SHA
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 22, 2025
2h ago
Walimu wakiongozwa na muungano wa kutetea maslahi ya walimu wa shule za sekondari KUPPET wamejitokeza haswa katika kaunti ya kericho kuweka wazi hisia zao baada ya TSC kushirikiana katika azma ya kuwahamisha kutoka kwa bima ya afya ya Minet .