Back to home

Vincent Kiprono Chemitei kubeba bendera ya UDA kwenye uchaguzi mdogo ujao wa useneta wa Baringo

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 22, 2025
3h ago
Vincent Kiprono Chemitei mwenye umri wa miaka 31 atabeba bendera ya chama cha UDA katika uchaguzi mdogo ujao wa useneta wa Baringo. Huko Kakamega, David Athman Ndakwa aliibuka mshindi katika mchujo wa eneo bunge la Malava . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan n