Back to home
Wawakilishi wadi 33 walitia saini hoja ya kumtimua spika Ann Kiusya katika kaunti ya Machakos
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Bunge la kaunti ya Machakos linatarajiwa kuendeleza mchakato wa kumuondoa spika wa bunge la kaunti hiyo Ann Kiusya jumanne hii.