Back to home
Zoezi la mchujo wa mgombea ubunge kufanywa kesho Kasipul
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
3h ago
Chama cha ODM tawi la kasipul kaunti ya homa bay, kimetoa hakikisho kwamba mchujo utakaoandaliwa hapo kesho utakuwa bila mapendeleo. MwenyeKITI wa chama hicho tawi la kasipul Evance Ndege amewahakikishia wanachungwa kuwa taratibu zote za mchujo zitafuatwa