Back to home

Mvulana aliyepotea apatikana ameuawa kaunti ya Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
4h ago
Kijana wa miaka 18 aliyetoweka kwa zaidi ya siku Kumi katika Kijiji Cha mapenya kaunti ya Lamu apatikana ndani ya kisima akiwa amefariki. Mwili wa marehemu ulipatikana ukiwa bila macho, kwenye kisa kilichowaacha wakaazi na hofu.