Back to home
Mashindano ya mbio yaliyoandaliwa katika kaunti ya Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 23, 2025
2h ago
Wanariadha kutoka Kaunti ya Elgeyo Marakwet,wameibuka mabingwa wa mashindano ya mbio za nyika kaskazini mwa bonde la ufa yaliyoandaliwa katika kaunti ya Samburu. Shirikisho la riadha eneo hilo limeelezea matumaini makubwa ya wanariadha hao kushiriki mbio za nyika za Dunia mapema