Back to home

Police FC wajiandaa kumenyana na Mogadishu FC Jumapili

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 23, 2025
2h ago
Mabingwa wa ligi kuu ya kenya, police fc, wamerejea mazoezini kabla ya mechi ya mkondo wa marudiano ya raundi ya kwanza ya ligi ya mabingwa ya caf. Police wanaongoza kwa mabao 3-1 kutoka kwa mkondo wa kwanza uliochezwa katika uwanja wa taifa wa nyayo jumamosi iliyopita.