Back to home
Chama cha chungwa kujiandaa kwa sherehe za miaka 20
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
5h ago
Viongozi wa chama cha ODM wakiongozwa na Kiranja ya wachache katika Bunge la Kitaifa Junet Mohammed pamoja na naibu Kiongozi wa chama hicho Simba Arati wamezuru uga wa Gusii kuafiki mipango ya kusherehekea miaka 20 ya chama cha Chungwa ukanda wa Nyanza na Magharibi