Back to home

Polisi majambazi kuwajibishwa kaunti ya Kisumu

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
2h ago
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, Inspekta mkuu wa polisi na Mkurugenzi wa idara ya DCI wmesema maafisa wa polisi waliohusika wizi wa gari kutoka kituoni mwa polisi cha Maseno huko Kaunti ya Kisumu watashtakiwa na kisha kuwachishwa kazi….