Back to home
Wakazi wa Kihoto kaunti ya Nakuru wanakabiliwa na hatari ya magonjwa kutokana na maji taka
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
.Wakazi wa eneo la Kihoto huko Naivasha kaunti ya Nakuru sasa wanakodolea hatari ya magonjwa na hata maafa kutokana na maji taka yaliyosababishwa na kufurika kwa ziwa naivasha. Wakazi zaidi ya 5,000 wamejipata katika mazingira duni huku maji yaliyochanganyika na maji taka kutoka