Back to home
ODM yaweka mikakati ya kumnadi mgombeaji wake Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Chama cha ODM kimeanza kuweka mikakati ya kumnadi mgombeaji wake kwenye uchaguzi mdogo wa tarehe 27 mwezi novemba katika wadi ya Purko, kaunti ya Kajiado.