Back to home

Wakazi wa Emarti Kajiado ya Kati walalamika kuwa wametengwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
2h ago
Wakazi wa eneo la Emarti, Kajiado ya Kati, wamelalamikia viongozi walio mamlakani wakisema wamewasahau katika miradi ya maendeleo. Wakizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kanisa la Faith Free Pentecost, wakazi hao waliomba serikali kufanikisha miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi