Back to home

Jamii ya Talai yataka itambuliwe kama jamii tofauti

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 15, 2025
3h ago
Jamii wa Talai inayoishi sehemu mbalimbali nchini Kenya imewasilisha maombi ya kutambuliwa kwa kitengo cha kuzingatia maslahi ya walio wachache na waliotengwa kutoka ofisi ya rais. Katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Kiprugut Chumo uliowaleta pamoja wanajamii wa Talai k