Back to home

Kaunti ya Elgeyo Marakwet inakabiliwa na changamoto kubwa ya mimba za utotoni

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 24, 2025
2h ago
Kaunti ya Elgeyo Marakwet inakabiliwa na changamoto kubwa ya mimba za utotoni, hali ambayo inaarifiwa kuchangiwa na kiwango cha juu cha umaskini pamoja na ukosefu wa sodo kwa wasichana.