Back to home

Kitengela: Wakazi walalamikia hali duni ya usafi kutokana na mtiririko wa maji taka

video
N
NTV Kenya (Youtube)
September 24, 2025
2h ago
Wakazi wa mtaa wa Kitengela, katika kaunti ya Kajiado wamelalamikia hali duni ya usafi kutokana na mtiririko wa maji taka kutoka kwa majumba ya makazi, hali ambayo imezua hofu ya mlipuko wa magonjwa katika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news tod