Back to home
Wazazi wa shule ya Gatunguru wapinga agizo linalowataka walipe Sh25,000 kufadhili ujenzi wa mabweni
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 24, 2025
2h ago
Wazazi wa shule ya upili ya wavulana ya Gatunguru wamepinga vikali agizo la bodi ya shule linalowataka walipe Sh25,000 kufadhili ujenzi wa mabweni yaliyoteketea kwa moto wiki mbili zilizopita.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told b