Back to home
Mgomo wa wahadhiri waingia wiki ya pili na kuvuruga masomo vyuo vikuu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 24, 2025
3h ago
Wahadhiri pamoja na wafanyikazi wa vyuo vikuu wameshikilia kuwa kamwe hawatarejea kazini hadi pale serikali itawalipa shilingi bilioni 7.9. Wahadhiri na wafanyikazi hao ambao mgomo wao umeingia wiki ya pili waliandamana kuelekea bunge la kitaifa na hazina kuu ya kitaifa walikowas