Back to home

Upasuaji wa miili Kwa Binzaro waingia siku ya pili

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Shughuli ya upasuaji wa miili na viungo vilivyopatikana katika msitu wa kwa binzaro kaunti ya kilifi imeingia siku yake ya pili. Miili tisa kufikia sasa imefanyiwa upasuaji. Kwa mujibu wa mpasuaji mkuu wa serikali johansen oduor, mwili mmoja umebainika kuwa na majeraha kichwani.