Back to home
Wanawake wahimizwa kujiunga na mashirika ya akiba na mikopo Sabaki
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Wito umetolewa kwa kina mama huko Sabaki eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi kushirikiana na kujiunga na mashirika ya akiba na mikopo ili waweze kujiendeleza kimaisha.