Back to home

Kindiki amkemea Gachagua na siasa za kikabila

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 26, 2025
2h ago
Naibu Rais Kithure Kindiki amekemea upinzani kwa kuendesha siasa za kimaeneo, akiwahakikishia wakenya kuwa serikali inajizatiti kuwasawazisha maendeleo nchini bila kuangalia miegemeo ya kisiasa .Kindiki aliyeongoza vikosi vya Kenya kwanza kwenye hafla za uwezeshaji Huko Taita Tav