Back to home
Edward Gituku akamatwa kwa tuhuma za ulanguzi wa binadamu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
3h ago
Edward Kamau Gituku mshukiwa katika sakata ya ulanguzi wa binadamu atazuiliwa kwa siku kumi . Gituku alikamatwa pamoja na washukiwa wengine 22 katika nyumba moja katika mtaa wa great wall huko mavoko akidaiwa kuhusika na usafirishaji wa watu hadi nchini urusi.