Back to home
Wizara ya utalii imewataka Wakenya kujiunga kwenye mchakato wa kuitangaza Kenya
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 27, 2025
1h ago
Wizara ya utalii imewataka Wakenya kutoka kote nchini kujiunga kwenye mchakato wa kuitangaza Kenya kama sehemu nzuri ya kuzuru duniani, washikadau katika sekta hiyo wakilenga kuongeza idadi ya watalii wa kigeni kufikia milioni tano ifikapo 2027.
Subscribe and watch NTV Kenya liv