Back to home

KNUT yaonya TSC kukoma kuwatumia wanasiasa kwenye mchakato wa kuwaajiri walimu wapya

video
September 2, 2025
5d ago
C
Citizen TV (Youtube)
News Channel
Watch Original

About this video

Chama cha Kutetea maslahi ya walimu wa shule za msingi KNUT kimetoa onyo kwa Uongozi mpya wa tume ya kuuwajiri walimu nchini TSC kukoma kuwatumia wanasiasa kwenye mchakato wa kuwaajiri walimu wapya kupitia mikutano ya kisiasa. Chama hicho kupitia kwa Naibu Mwenyekiti wake wa Kita..