Back to home

Watu 20 wafariki kwenye ajali mbili tofauti katika barabara ya Nakuru-Nairobi Ajali

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 28, 2025
2h ago
Watu ishirini wameaga dunia katika ajali mbili za barabarani eneo la Kikopey na gilgil katika kaunti ya Nakuru. Katika kisa cha hivi punde zaidi, watu kumi na wanne wamefariki baada ya matatu na lorry aina ya trela kugongana karibu na eneo la Kimende. Kwenye ajali ya mapema, watu