Back to home
Muungano wa vijana Mombasa wahimiza wenzao wajisajili kura
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Baadhi ya makundi ya vijana kaunti ya Mombasa yameanzisha kampeni ya kutoa hamasisho kwa vijana kujitokeza kwa wingi na kujisajili kuwa wapiga kura.
Wakizungumza wakati wa uzinduzi wa hamasisho hilo huko nyali mombasa vijana hao wamelalama kuwa kwa muda mrefu wanasiasa wamekuwa w