Back to home
Zoezi la usajili wa wapigakura wapya limeanza Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Tume huru ya Uchaguzi na mipaka IEBC inazindua rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini. Halfa hiyo inafanyika katika eneo la Mashuuru, kaunti ya Kajiado ambapo itaongozwa na mwenyekiti wa IEBC Erustus Ethekon na makamishana wa tume hiyo.
Sasa tuungane na Robert M