Back to home
| Ukumbi | Mustakabali wa taifa [part 5]
video
C
Citizen TV (Youtube)September 29, 2025
2h ago
Rais mstaafu Uhuru alishutumu utendakazi wa Rais Ruto
Je, kuna ukweli kuhusu madai aliyotoa rais mstaafu?
Je, matamshi hayo yanahujumu utendakazi wa serikali?
Je, matamshi ya Uhuru yana athari yoyote katika siasa?
Tunajadili pia mikakati ya IEBC kujiandaa katika chaguzi ndogo