Back to home
Walimu wa shule za junia wazidi kupinga kuwepo chini ya uongozi wa shule za msingi
video
N
NTV Kenya (Youtube)September 29, 2025
1h ago
Walimu wa shule za junia wanazidi kupinga kuwepo chini ya uongozi wa shule za msingi. Walimu hao wanataka uhuru wa utendakazi wa shule hizo, wakielezea hali mbovu za kazi, kutotambulika, na kutumika vibaya na walimu wakuu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan new