Back to home

Walimu wataka usimamizi wa JSS uondolewe kwenye shule za msingi

video
C
Citizen TV (Youtube)
September 25, 2025
2h ago
Chama cha walimu wa Sekondari KUPPET kaunti ya Laikipia kimesisitiza umuhimu wa shule za JSS kujisimamia kikisema tofauti za viwango vya elimu kati ya wasimamizi wa shule za msingi na walimu wa JSS zinaleta mvutano mkubwa baina yao katika utekelezaji wa mtaala mpya wa elimu CBE.